
Waziri Mkuu wa Tanzania,
Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Comoros, Azali Assoumani, kwenye ndege
ya shirika la Ethiopian Airline, wakiwa safarini kueleke Ethiopia, katika
Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika AU, Waziri Mkuu,
anamwakilisha Rais John Pombe Magufuli kwenye Mkutano huo. Januari 28, 2018.

Waziri Mkuu wa Tanzania,
Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga, wakati alipo wasili kwenye uwanja wa
Kimataifa wa ndege wa Addis Ababa, kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli kwenye
Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika AU Nchini Ethiopia.
Januari 28, 2018.

Waziri Mkuu wa Tanzania,
Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, kwenye hafla
ya miaka 100 ya kumkumbuka Rais wa kwanza wa Afrika Kusini, Nelson Mandela,
iliyofanyika kwenye Hoteli ya Sheraton, Mjini Addis Ababa, Waziri Mkuu yupo
Nchini Ethiopia kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli kwenye Mkutano huo.
Januari 28, 2018.

Waziri Mkuu Tanzania,
Kassim Majaliwa akisainiwa kitabu cha kumbukumbu, cha Rais wa kwanza wa Afrika
Kusini, Nelson Mandela na Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, kwenye hafla ya
miaka 100 ya kumkumbuka Kiongozi huyo, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Sheraton,
Mjini Addis Ababa, Waziri Mkuu yupo Nchini Ethiopia kumwakilisha Rais John
Pombe Magufuli kwenye Mkutano huo. Januari 28, 2018.
Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu.
No comments:
Post a Comment