
![]() |
|
Kaimu
Kamanda Jeshi la Polisi,mkoa wa Singida,Isaya Mbughi,amesema miili ya abiria
hao wa Landcruiser ambao majina yao wala makazi yao bado
hayajulikana,imehifadhiwa katika hospitali ya Misheni Puma.
Mbughi
amesema uchunguzi wa awali umebaini kuwa kuna kila ya dalili dereva wa
Landcruiser alikuwa amelala,na hivyo gari lilihama kutoka upande wa kushoto na
kwenda kulia.
Kaimu kamanda
huyo,amesema Utingo wa basi hilo,amevunjika mkono,na mtoto mmoja mwenye
umri kati ya miaka sita na saba,naye amejeruhiwa na wote wamelazwa katika
hospitali ya Misheni ya Puma.
|








No comments:
Post a Comment