Ajali ya Noah ya Abiria yagongana Uso kwa Uso na Lori leo Nov 11,2017 -Kilimanjaro. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, November 11, 2017

Ajali ya Noah ya Abiria yagongana Uso kwa Uso na Lori leo Nov 11,2017 -Kilimanjaro.

Ni taarifa ya ajali iliyotokea mchana wa leo November 11, 2017 Mkoani Kilimanjaro eneo la kikavu kwa Sadala baada ya Gari la maji  la Kilimanjaro ambalo ndio chanzo cha ajali, kulipita gari jingine na kugongana uso kwa uso na Noah ya abiria iliyokua ikitokea Moshi Mjini kwenda Sanya Juu.

Inasemekana Ajali hii imepoteza uhai wa jumla ya watu wanne ( wakubwa watatu na mtoto mdogo mwenye umri kati ya miaka 3-6 mmoja ), walionusurika ni watu wanne.
Hata hivyo Majina ya marehemu hao bado hawajatambulika huku majeruhi wamepelekwa hospitali.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad