
![]() |
|
Toka kushoto ni DC Ngara ,Luteni Kanali Mtenjele na Mkurugenzi wilaya ,Bw.Aidan Bahama wakiwa nyumbani kwa mmoja wa Wazazi wa Mtoto aliyejeruhiwa Kihinga.
Mkuu wa
wilaya ya Ngara, Luteni Michael Mtenjele amebainisha hayo leo November 11, 2017, wakati
akiongea na waandishi wa habari na kusema kwamba hali za Majeruhi hao zinaleta matumaini kiafya kutokana na juhudi zinazofanywa
na wataalamu wa afya.
Aidha amesema
kwamba wagonjwa hao wanaendelea kuhudumiwa na waganga kwa kutibiwa majeraha
baada ya kufanyiwa upasuaji na hofu kubwa ilikuwa ni upungufu wa damu lakini
wananchi wengi wamejitokeza kutoa damu salama kwa majeruhi hao.
|








No comments:
Post a Comment