![]() |
Simba
SC itakuwa na kazi ya kuhakikisha inaondoka na pointi tatu ili kupata zote sita
mkoani Mbeya.
|
![]() |
Mechi
nyingine za kesho Ruvu Shooting watakuwa wenyeji wa Ndanda FC Uwanja wa
Mabatini, Mlandizi mkoani Pwani, Stand United na Mwadui FC Uwanja wa Kambarage,
Shinyanga, Maji Maji na Mbao FC Uwanja wa Maji Maji mjini Songea na Simba SC
dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya.
Mzunguko wa 10 utakamilishwa kwa michezo miwili, Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam, Yanga watakuwa wenyeji wa Mbeya City na Uwanja wa Saba Saba mjini Njombe, wenyeji Njombe Mji FC wataikaribisha Azam FC. Simba inaongoza Ligi Kuu kwa pointi zake 19, sawa na Azam FC inayoshika nafasi ya pili kwa kuzidiwa wastani wa mabao, wakati Yanga inashika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu ikiwa na pointi 17, sawa na Mtibwa Sugar. |
No comments:
Post a Comment