
![]() |
|
Kutoka kulia ni Baba Askofu Severin Niwemugizi wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara sambamba na Mkurugenzi
wa Halmashauri ya wilaya ya Ngara Bw.Aidan Bahama wakifatilia kinachoendelea
katika siku maalum ya kuwakutanisha wadau wa radio
kwizera leo hii November 3, 2017 katika ukumbi wa Radio Kwizera.
|
![]() |
|
Mkurugenzi
wa Radio Kwizera Padre Damasi Missanga (Kushoto Pichani)
katika siku maalum ya kuwakutanisha wadau wa radio
kwizera leo hii November 3, 2017 katika ukumbi wa Radio kwizera amesema kuwa amesema radio ni kiungo muhimu kati ya
wananchi na serikali katika kutekeleza shughuli
mbalimbali hivyo viongozi wanaowajibu wa kuitumia radio kwizera kwani
wakiitumia kuelimisha jambo litakuwa limewafikia wengi.
Mwl Robert Mkosamali
pichani kulia kutoka BBC MA pia alielezea ushirikiano baina ya BBC MA
na Radio Kwizera katika kuandaa vipindi vyenye kugusa Utawala bora ili
kuleta uwajibikaji kwa Viongozi na jamii.
|

![]() |
|
Kutoka kushoto, ni Shehe wa
Wilaya ya Ngara ,Rajab Msabaha akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA -Ngara Kenedy
Stanphord na Wadau wengine mbalimbali pichani chini kutoka
Serikali,Vyama vya Siasa,Viongozi wa Dini,Wafanya Biashara na Wananchi
wakifatilia mambo wakati wa Siku hiyo ya Radio Kwizera ambapo walifanya
Ziara ya kutembelea Vitengo mbalimbali vya RK na kupata maelezo yao.
|













No comments:
Post a Comment