![]() |
Agizo hilo
pia linapiga marufuku wanawake kupiga ngoma.
Hairuhusiwi
kwa wanawake kupiga ngoma.
Hatahivyo
wanaweza kushiriki katika kucheza densi za kitamaduni wakiandamana na ngoma
hizo, kulingana na chombo cha habari cha AFP kilichonukuu agizo hilo.
Hilo ni
jaribio la kusitisha na hatua mpya ya wanawake wa Burundi kupiga ngoma.
Kitamaduni
wanawake hawakuruhusiwa kupiga ngoma nchini Burundi.
Ngoma
inaonekana kama yenye umbo la mwanamke.
Agizo hilo
pia linasema kuwa kundi lolote litakalotaka kupiga ngoma katika nchi za ugenini
litalazimika kupata ruhusa kutoka kwa wizara.
Densi ya
Burundi inatambulika na shirika la Umoja wa mataifa kuhusu Utamaduni Unesco
kama urithi wa utamaduni isioonekana.
Mila hiyo
inasemekana kuamsha roho za mababu na kufukuza pepo wabaya.
|
Friday, November 03, 2017
Wanawake wapigwa marufuku kupiga ngoma Burundi.
Tags
# HABARI
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
HABARI
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.







No comments:
Post a Comment