Msimamo wa EPL 2017/2018 Ulivyo kwa Sasa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, November 06, 2017

Msimamo wa EPL 2017/2018 Ulivyo kwa Sasa.

Hapo Jana November 5,2017 Ligi Kuu Uingereza iliendelea kwa mechi kati ya  Chelsea dhidi ya Manchester United iliyomalizika kwa Chelsea kupata ushindi wa goli 1-0, goli likifungwa na Alvaro Morata dakika ya 55 kwa kichwa.

Mechi nyingine ilichezwa katika uwanja wa Etihad kati ya wenyeji Man City wakicheza dhidi ya Arsenal, game ambayo ilimalizika kwa Manchester City kupata ushindi wa magoli 3-1, magoli ya Man City yakifungwa na Kelvin De Bruyne dakika ya 19, Sergio Aguero kwa penati dakika ya 50 na Gabriel Jusus dakika ya 75.
Arsenal wakipata la kufutia machozi kutoka kwa Alexandre Lacazette dakika ya 65, ushindi huo sasa umeifanya Man City kuenelea kuwa kileleni mwa msimamo wa EPL kwa kuwa na point 31 wakati Chelsea wakiwa nafasi ya nne kwa kuwa na point 22.

HAPA NI MSIMAMO WA EPL ULIVYO SASA.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad