Taswira Picha Mamba Apigwa Risasi katika eneo Capri Point-Mwanza. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, November 11, 2017

Taswira Picha Mamba Apigwa Risasi katika eneo Capri Point-Mwanza.

Mamba huyu ameuawa kwa kupigwa risasa na Maliasili baada ya kuibuka katika eneo la kivuko cha kwenda Hifadhi ya Saanane pale Capri point wilayani Nyamagana mkoani Mwanza na hivyo kuleta taharuki kwa wakazi wa eneo hilo.
PICHA NA- Frederick Katulanda



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad