![]() |
|
Aliongeza
kuwa wapo vijana sita ambao wamepatiwa mafunzo ya utengenezaji wa uwanja hivyo
ameomba kuangaliwa kwa ajira zao ili waweze kutumika katika viwanja vingine vya
mikoani.
Aidha waziri
Mwakyembe amewataka mashabiki na Watanzania kwa ujumla kushirikiana katika
kuutunza uwanja huo kwani hadi sasa marekebisho yamechukua gharama kubwa ambazo
ni zaidi ya shilingi Bilioni 1.2.
|
Saturday, November 11, 2017
Uwanja mkuu wa Taifa Wakamilika Baada ya Matengenezo ya Miezi 3.
Tags
# MICHEZO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
MICHEZO
Labels:
MICHEZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.







No comments:
Post a Comment