

![]() |
Kamanda wa Polisi
mkoa wa Kigoma Naibu Kamishna wa Polisi Ferdinand Mtui amesema zaidi ya watu
hamsini wamekamatwa kuhusiana na tukio hilo lililotokea Jana September 4,2017 huku
Kaimu mkuu wa wilaya ya Kasulu Kanali Marco Gaguti ambaye pia ni mkuu wa wilaya
ya Buhigwe akitoa wito kwa wananchi kuacha kujichukulia sheria mkononi.
|








No comments:
Post a Comment