Ni Ajali ya basi la SATCO kutoka Dodoma kuelekea Mwanza,imetokea leo September 25, 2017 katika eneo la Sekenke,mkoani Singida ambapo taarifa za awali zinasema kuwa hakuna vifo ila kuna majeruhi. Taarifa zaidi tutaendelea kuwaletea hapa. Add caption
No comments:
Post a Comment