![]() |
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 11
Septemba, 2017 amemwapisha Prof. Ibrahim Juma kuwa Jaji Mkuu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania.
Uteuzi huo
wa Jaji Mkuu wa Tanzania umeanza jana tarehe 10 Septemba, 2017.Kabla ya uteuzi
huo Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma alikuwa akikaimu nafasi hiyo.
Mhe. Prof.
Ibrahim Hamis Juma amechukua nafasi ya Mhe. Jaji Mstaafu Mohamed Chande Othman
ambaye amestaafu.
|








No comments:
Post a Comment