Msanii
Natacha kutoka Burundi amefanikiwa kupata tuzo ya heshima kutoka kwa rais wa
nchi hiyo Pierre Nkurunziza.
Natacha
amepatiwa tuzo hiyo Julai 01,2017 wakati wa sherehe za miaka 55 ya uhuru
wa nchi hiyo.
Baada ya kupata tuzo hiyo Natacha kupitia mtandao wa Instagram,
ameandika ujumbe wa kufurahishwa kupata tuzo hiyo kutoka kwa rais Nkurunziza.
I’m so happy because I was
among the people who received the prize from his Excellency the President of
the Republic of Burundi Pierre NKURUNZIZA. For me it’s a honnor to receive such
Prize from the President. I will pray that God keeps on giving him the strength
and the stamina to lead this beautiful Country. May God bless him and his
family I would like to let you know
that,this gift is not only for Natacha but it is for all Burundian Artists in
particular and all my fans in general
Hii ni video
Rais Pierre Nkurunziza akimkabidhi Natacha tuzo hiyo.
|
No comments:
Post a Comment