Maguri
amefunga bao hilo pekee dakika ya 18 kipindi cha kwanza baada ya kupokea pasi
murua kutoka kwa Mazamiru Yassin.
Baada ya
mchezo, Maguri alitangazwa kuwa mchezaji bora wa mchezo huo baada ya kuonesha
kiwango kizuri ikiwa ni pamoja na kufunga goli lililoisaidia Stars kufuzu
kucheza hatua ya nusu fainali ya mashindano hayo.
Taifa Stars
itacheza na Zambia katika hatua ya nusu fainali baada ya Zambia wao kushinda
2-1 mchezo wao wa robo fainali walipo cheza dhidi ya Botswana.
Mechi ya
nusu fainali ya Cosafa kati ya Taifa Stars dhidi ya Zambia itachezwa Julai 5,
2017.
|
Monday, July 03, 2017
Taifa Stars usoni mwa Zambia Nusu fainali COSAFA 2017.
Tags
# MICHEZO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
MICHEZO
Labels:
MICHEZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment