Balozi wa
Japan hapa nchini Masaharu Yoshida akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Chato Shaaban
Ntarambe hati ya kituo cha kukamua Mafuta ya Alizeti (Double Refine) kilichojengwa Chato mkoani
Geita kwa Msaada wa Serikali ya Japan.
PICHA NA
IKULU.
|
Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin Mkapa
akizungumza na wananchi wa Mikoa ya Geita, Simiyu na Kagera katika uwanja wa
Mazaina Chato mkoani Geita kabla ya kukabidhi Hati za umiliki wa nyumba 50 za
watumishi wa sekta ya Afya zilizojengwa na Taasisi ya (Mkapa Foundation) katika
mikoa hiyo mitatu.
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wananchi wa Mikoa ya Geita, Simiyu na Kagera katika uwanja wa Mazaina Chato
mkoani Geita baada ya Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin Mkapa kukabidhi
nyumba 50 kwa wizara ya Afya.
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na
Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin Mkapa wakati Mbunge wa Chato ambaye pia
ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini,
Dkt. Medard Kalemani alipokuwa akihutubia wananchi wa Chato mkoani
Geita.
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais
Mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin Mkapa mara baada ya kumaliza ziara yake Chato
mkoani Geita ambapo alikabidhi nyumba 50 zitakazotumika katika sekta ya afya
katika mikoa ya Geita, Simiyu na Kagera.
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mama Anna
Mkapa.
|
Rais Mstaafu
wa awamu ya Tatu Benjamin Mkapa akiangalia hotuba yake kabla ya kuhutubia
wananchi mbalimbali katika uwanja wa michezo wa Mazaina Chato mkoani Geita.
|
Kikundi cha
ngoma za asili cha Chato kikitumbuiza katika uwanja wa Mazaina Chato mkoani
Geita.
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi
wakati akiwasili katika uwanja wa Mazaina Chato mkoani Geita.
|
No comments:
Post a Comment