Simba wengi
wa kike huwauwa watoto wa chui wanapokutana nao, na huwaona kama wapinzani
katika mapambano ya kutafuta chakula.
Simba huyo
alikuwa kilomita moja kutoka kwa nyumba yao ambapo kuna maficho ya watoto wake
alipokutana na chui huyo mdogo.
Alimchukua
mwana huyo na kumlea kama wake na humlindi dhidi ya shambulio lolote.
|
Daktari Luke
Hunter , ambaye ni rais muhifadhi mkuu wa Panthera ,shirika kuu la ufugaji wa
wanyama aina ya paka aliambia BBC kwamba kisa hicho ni cha kipekee.
|
Simba
Nasikitok akimnyonyesha mwana huyo wa chui katika Ngorongoro.
Eneo hilo ni
la Serengeti. Simba huyo amepewa jina Nosikitok na ana umri wa miaka mitano.
Simba huyo
amewekewa mfumo wa GPS katika shingo yake ili kutambua anakokwenda na ana
watoto watatu waliozaliwa kati ya mwezi Juni 27-28.
|
Chui mtoto
anayeishi na Simba
|
No comments:
Post a Comment