Ujerumani katika kipindi cha pili walifunga
goli la 3 Dakika ya 48 Mfungaji akiwa Leon
Goretzka lakini Australia wakapata bao la Pili dakika ya 58 kupitia Tomi Juric.
Leo Jumanne
June 20,2017 ni Mapumziko na Jumatano June 21,2017 kuna mechi mbili za Kundi A ambapo Wenyeji Russia wataanza na Portugal
na kufuatia Mexico na New Zealand.
|
Tuesday, June 20, 2017
Ujerumani waitandika 3-2 Australia-FIFA Kombe la Mabara.
Tags
# MICHEZO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
MICHEZO
Labels:
MICHEZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment