Utumiaji wa
simu za smartphone umeweza kusababisha kuanzishwa kwa app nyingi zaidi duniani,
hivyyo kupeleka watumiaji kutamani kuongeza application hizo kila kukicha.
Application
ya whatsapp ni moja ya app inayotumiwa zaidi kwa sasa, kwa kuzingatia hilo
wameamua kuongeza whatsappna kuwa mbili kwenye simu yako. Hivyo basi unaweza
kufuta maelekezo ilikuweka whatsapp hiyo katika simu.
Hatua ya
kwanza
Download App
inayoitwa parallel space kwenye play store
Hatua ya
pili
Kama simu
yako ni line moja basi weka line nyingine ambayo unataka iwe whatsapp yako ya
pili
Hatua ya
tatu.
Install
application uliyo download kwenye Step 1(parallel space ), kisha ifungue.
Hatua ya nne
Utakapofika
kwenye kipengele kinachotaka kuweka number ya simu hapo utaweka namba yako ya
pili ili uweze kuwa na whatsapp mbili
Hatua ya
tano.
Utaendelea
na Steps za kawaida utakazo onyeshwa kama ulivyojiunga na WhatsApp ya kwanza.
Hitimisho:
Mpaka hapo
utakuwa umefanikiwa kuweka na kuanza kutumia whatsapp mbili kwenye simu moja,
nakutakia kila la kheri.
Chanzo :
Mtandao
|
No comments:
Post a Comment