Mo Music.
“Wapenzi na
mashabiki wetu watarajie ngoma kali hivi karibuni tukiwa na mkali wa Basi
Nenda, Mo Music.
Tulikaa
kimya kidogo kwa ajili ya kujikita kwenye ufunguzi wa studio yetu mpya lakini
pia kuziachia nafasi ngoma zetu ziendelee kufanya vizuri sokoni”. Amesema
Mecras.
Wapancras
wamesema wimbo huo utatoka hivi karibuni ambapo umetengenezwa katika studio za
Vibe Nation.
|
Tuesday, June 27, 2017
Kisa Nitunzie Siri ,Yamvuta Mo Music kufanya Collabo na Kundi la Wapancras.
Tags
# WASANII
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
WASANII
Labels:
WASANII
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment