
![]() |
Ushindi huo
unairudisha Liverpool nafasi ya tatu ikifikisha pointi 69 na kuishushia nafasi
ya nne, Manchester City wenye Pointi 66,nafasi ya 5 ni Manchester United Pointi
65 na nafasi ya 6 wako Arsenal wakiwa na Pointi 60 za mechi 33.
Chelsea wanaongoza
Ligi kwa Pointi 81 za mechi 34 wakifuatiwa na Tottenham Hotspur wenye Pointi 77
za mechi 34.
|

No comments:
Post a Comment