
![]() |
Juma Kaseja akipokea zawadi ya fedha kutoka kwa moja ya Shabiki wa Timu ya Kagera Sugar kufuatia kuwa ngome kubwa ya kuizuia Simba SC isipate ushindi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Kaitaba.
Kaseja alipangwa langoni dhidi ya timu aliyopata nayo mafanikio tangu mwaka 2003 hadi 2009 alipohamia Yanga SC kabla ya kurejea 2011 na kudaka tena hadi 2013 alipohamia Yanga SC alikocheza kwa misimu miwili kabla ya kuhamia Mbeya Ciy na sasa yuko Kagera Sugar anamalizia soka yake. |










No comments:
Post a Comment