
![]() |
Rais Dkt
Magufuli akiagana na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan mapema leo mchana
mara baada ya kumaliza kikao cha Baraza la Mawaziri mjini Dodoma,kulia ni
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
|
![]() |
Makamu wa
Rais Mama Samia Suluhu Hassan akijadiliana jambo na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
baada ya kutoka kwenye kikao cha Baraza la Mawazili,kilichofanyika leo mjini
Dodoma.
|
![]() |
Waziri wa
habari,Utamaduni Sanaa na Michezo,Nape Nnauye akizungumza jambo na Waziri wa
Viwanda,Biashara na Uwekezaji,Charles Mwijage kabla ya kuanza kikao cha Baraza
la Mawaziri mjini Dodoma leo.PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS.
|
No comments:
Post a Comment