![]() |
Young
Africans imesafri na Msafara wa
wachezaji ishirini(20) benchi la ufundi nane( 8 )pamoja na viongozi wawili(2).
Wachezaji
wanaoondoka ni.
Deogratius
Munish, Ally Mustafa,Deud Kaseke,Haruna Niyonzima,Thaban Kamusoko, Amissi
Tambwe, Mwinyi Haji, Saimon Msuva, Geoffrey Mwashuiya,Saidi Makapu, Hassan
Ramadhani, Juma Mahadhi, Yusuph Mhilu, Obrey Chirwa, Nadir Haroub, Justine
Zulu, Kelvin Yondani, Juma Abdul, Oscar Joshua na Emmanuel Martin.
Benchi la
ufundi wanaoondoka ni.
George
Lwandamina,Noel Mwandila,Edward Samwel Bavu,Juma Pondamali,Juma Zakaria
Omary,Hafidhi Saleh Suleiman,Mohamed Omary Mwaliga na Jacob Sospeter Onyango.
Viongozi
wanaosafiri.
Mussa
Mohamed Kisoki (TFF) na Paul Malume
(Yanga Sc)
Baada ya
kikosi kuwasili kinatarajiwa kufanya mazoezi yake leo jioni kwenye uwanja
utakaochezewa mchezo siku ya jumapili.
Imetolewa na
Idara ya Habari na mawasiliano.
Young
Africans Sports Club
10.02.2017
|
Saturday, February 11, 2017
![](https://1.bp.blogspot.com/-7Kd9qaiRHuA/WaEtZyc70TI/AAAAAAAADsA/7WUYBVoY-UwwjdEP3kDFPvH9htN0dDKgQCLcBGAs/s1600/demo-image.jpg)
Happy Birthday YOUNG AFRICANS SC - 82th Anniversary.
Tags
# MICHEZO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
MICHEZO
Labels:
MICHEZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment