Mkuu wa
wilaya ya Ilemela, Dkt.Leonald Masele, alisema wilaya yake imejipanga
kuhakikisha inaendeleza mchezo wa soka ambapo imeanzisha timu kwa kila soko la
machinga wilayani humo hatua ambayo itasaidia kuukuza mchezo huo.
|
Mkurugenzi
wa taasisi ya The Football House, Mbaki Mutahaba, alisema taasisi hiyo
itaendelea kumuenzi mchezaji wake Ismail Khalifan Mrisho huku akiwasisitiza
vijana kutumia vyema vipaji walivyonavyo kama ilivyokuwa kwa Mrisho ambaye
ameacha alama ya soka nyuma yake baada ya umauti kumkuta.
|
Kaka wa
marehemu Ismail Khalifan Mrisho, aitwaye Athman Kitwana, akitoa salamu za
shukurani kwa niaba ya familia kwa namna ambavyo wadau mbalimbali walivyojitoa
kumwendeleza kipaji chake, kusaidia kwenye msiba wake na namna wanavyoendelea
kumuenzi baada ya umauti.
|
Wazazi wa
marehemu Ismail Khalifan Mrisho, kushoto ni
Rehema Mfaume (mama) na kulia ni Khalifan Mrisho (baba).
|
No comments:
Post a Comment