Taswira Picha Ziara ya Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC)- Wilayani Ngara Mkoani KAGERA. - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Tuesday, December 20, 2016

demo-image

Taswira Picha Ziara ya Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC)- Wilayani Ngara Mkoani KAGERA.

.com/simgad/
UVV-4
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akizindua Mradi wa kikundi cha Vijana wajasiliamali cha Ufugaji wa Nyuki na Shamba la Upandaji wa Miti katika kijiji cha Nyaruku Wilayani Ngara.
.com/img/proxy/
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akikagua Mradi wa Usambazaji wa Umeme Vijijini katika kijiji cha Nyankenda ikiwa ni Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015 / 2020.
.com/img/proxy/
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akikagua Ukamilishaji wa Agizo la Utengenezaji wa Madawati katika Shule ya Msingi Rulenge Jinsi lilivyo Kamilika kama alivyotoa agizo Mhe:Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli.
.com/img/proxy/
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akikagua eneo la Shamba la kikundi cha Mpaji ni Mungu Youth group kinacho jishughulisha na Ufugaji wa Nyuki na Ulimaji wa Mazao Mbali mbali ya Chakula.
.com/img/proxy/
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akionyeshwa Bidhaa mbali mbali zinazo zalishwa na kikundi cha Mpaji ni Mungu Youth group.
.com/img/proxy/
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akimkabidhi mmoja kati ya Wazee 25 waliopokea Vyeti Vya Matibabu ya bure kwa wazee katika kijiji cha kijiji cha Mumiramila Wilayani Ngara.
.com/img/proxy/
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) alipo zindua Mradi wa Shamba la UVCC wilayani Ngara kwa ajili ya Shughuli Mbali mbali za kilimo kwa Vijana Wilayani humo ikiwa ni Utekelezaji wa agizo lake alilotoa kwa Makatibu wote kuandaa miradi Mbali mbali ili kukwamua Vijana kiuchumi kama kauli Mbiu yake isemayo” SIASA NA UCHUMI”
.com/img/proxy/
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akiwasili katika Kijiji Cha BENACO Wilayani Ngara, Shaka yupo kwa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM 2015 /2020.
.com/img/proxy/
Mwenyekiti wa uvccm Mkoa wa Kagera Bw. Yahya Kateme akizungumza kumkaribisha Ndg: Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka Kuzungumza na Wajumbe wa Baraza la UVCCM pamoja na Wajumbe wa Sekretariet ya CCM Wilayani Ngara.
.com/img/proxy/
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC)akizungumza na Wajumbe wa Baraza la UVCCM pamoja na Wajumbe wa Sekretariet ya CCM Wilayani Ngara Katika Kikao Cha Ndani Kilicho Fanyika katika Ukumbi wa Engubenako Wilayani Ngara.
.com/img/proxy/
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akizungumza na Wajumbe wa Baraza la UVCCM pamoja na Wajumbe wa Sekretariet ya CCM Wilayani Ngara Katika Kikao Cha Ndani Kilicho Fanyika katika Ukumbi wa Engu-Benako Wilayani Ngara.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *