Sadio Mane aipa Liverpool bao dhidi ya Everton - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Tuesday, December 20, 2016

demo-image

Sadio Mane aipa Liverpool bao dhidi ya Everton

.com/simgad/
3B870FAD00000578-0-image-m-10_1482186268496
Goli lililofungwa na Sadio Mane dakika ya 2 kati ya 8 zilizoongezwa kufidia muda uliopotea, limetosha kuipaisha Liverpool hadi nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya England 2016/2017.


3B86FC4600000578-4049790-image-a-104_1482185164608

Katika mchezo huo wa jana December 19,2016,usiku dhidi ya Everton uliochezwa kwenye dimba la Goodison Park, ilionekana kama vile timu hizo pinzani zingetoka sare lakini Mane akabadilisha sura ya mchezo katika dakika za lala salama.


3B86FB1D00000578-4049790-image-a-109_1482185621239

3B86F81000000578-4049790-image-a-106_1482185601859

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *