Ratiba ya 32 bora ya Europa League 2016/2017, Genk ya Samatta uso na Astra Giurgiu ya Romania. - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Monday, December 12, 2016

demo-image

Ratiba ya 32 bora ya Europa League 2016/2017, Genk ya Samatta uso na Astra Giurgiu ya Romania.

.com/simgad/
Europa-1
Ratiba ya hatua ya 32 bora ya Europa League imeshatoka Leo December 12,2016, ambapo Klabu ya Straika wa Tanzania, Mbwana Samatta, Genk ya Belgium imepangiwa Astra Giurgiu ya Romania.

Mchezo wa kwanza Genk itacheza kwenye uwanja wake wa nyumbani halafu itasafiri hadi Romania kucheza mchezo wa marudiano.

Manchester United  ya Uingereza ,wao wamepangwa na St-Etienne ya Ufaransa.

Hivi sasa St-Etienne wanakamata Nafasi ya 8 kwenye Ligi 1 huko Ufaransa.

Timu nyingine ya Uingereza ambayo iko Europa League, Tottenham, itacheza na Klabu ya Belgium, Gent.

Mechi hizo za Raundi ya Mtoano ya Timu 32 zitachezwa Alhamisi Februari 16 na Marudiano ni Februari 23.

DROO KAMILI:

Athletic Bilbao v Apoel Nicosia

Legia Warsaw v Ajax

Anderlecht v Zenit St Petersburg

Astra Giurgiu v Genk

Manchester United v Saint-Etienne

Villarreal v Roma

Ludogo-rets v FC Copenhagen

Celta Vigo v Shakhtar Donetsk

Olympiakos v Osmanlispor

Gent v Tottenham Hotspur

Rostov v Sparta Prague

Krasnodar v Fenerbahce

Borussia Monchengladbach v Fiorentina

AZ Alkmaar v Lyon

Hapoel Beer Sheva v Besiktas

PAOK v Schalke

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *