Picha-Ushindi wa Simba SC ibakile kileleni kwa tofauti ya pointi nne (4) VPL 2016/2017. - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Friday, December 30, 2016

demo-image

Picha-Ushindi wa Simba SC ibakile kileleni kwa tofauti ya pointi nne (4) VPL 2016/2017.

.com/simgad/
IMG-20161229-WA0035
Ni Bao pekee la kiungo Ibrahim Mohamed ‘MO’ limeendelea kuifanya Simba SC ibakile kileleni kwa tofauti ya pointi nne (4) mbele ya wapinzani wao Yanga SC walioshinda December 28,2016 kwa bao 4-0 dhidi ya Ndanda FC katika mchezo wake wa 18.

IMG-20161229-WA0036
Simba SC imeshinda bao 1-0 na Katika michezo nane iliyopita, Ruvu Shooting imeambulia sare moja huku ikiwa imepoteza mechi saba mbele ya ‘mnyama.’

IMG-20161229-WA0037
Matokeo ya jana December 29,2016 yanaifanya Simba SC ifikishe jumla ya pointi 44 kileleni mwa VPL 2016/2017 huku Yanga SC ikifata nafasi ya pili kwa pointi zake 40 ikiwa timu zote zimeshacheza mechi 18.

Kwa Timu za Yanga SC na Simba SC ,mechi za VPL inasitishwa kwao hadi baada ya kwisha Mashindano ya Mapinduzi Cup 2017 yatakayochezwa huko Zanzibar kuanzia Januari 01 hadi 13,2017. 

VPL - Ligi Kuu Vodacom

Ratiba/Matokeo:

Jumatatu Desemba 26,2016.

Ruvu Shooting 2 – 0 Tanzania Prisons

Jumatano Desemba 28,2016.

Yanga SC 4 – 0 Ndanda FC

Mtibwa Sugar 1 – 0 Majimaji FC

Alhamisi Desemba 29,2016.

Ruvu Shooting 0 – 1 Simba SC

Azam FC 1 – 0 Tanzania Prisons

Jumamosi Desemba 31,2016.

Mwadui FC v Kagera Sugar [Mwadui Complex, Mwadui]

African Lyon v JKT Ruvu [Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam]

Mbeya City v Mbao FC [Sokoine, Mbeya]

Jumapili Januari 01,2016.

Toto African v Stand United [CCM Kirumba, Mwanza]

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *