Taswira Picha ya Mchezaji wetu Soka la Mchangani Muleba/Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, December 30, 2016

Taswira Picha ya Mchezaji wetu Soka la Mchangani Muleba/Kagera.

Pichani ni Mchezaji wa Timu ya Bigaga FC ya Kata ya Kikuku wilayani Muleba Mkoani Kagera, akijiandaa kuingia Uwanjani bila Viatu kucheza mechi ya Nusu Fainali dhidi Timu ya Kikuku FC kwenye Michuano ya Ligi ya soka katika kata ya Kagoma na kikuku wilaya ya Muleba mkoani Kagera.

Katika mchezo huo , Timu ya Bigaga FC ilifanikiwa Kuingia Fainali baada ya kuifunga Kikuku FC kwa njia ya Matuta.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad