PICHA: Nyumba 7 Zaharibiwa na Mvua ya Mawe Wilayani Ngara Mkoani Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, November 11, 2016

PICHA: Nyumba 7 Zaharibiwa na Mvua ya Mawe Wilayani Ngara Mkoani Kagera.

Nyumba zipatazo 7 katika Kata ya Murusagamba, Wilayani  Ngara mkoani Kagera zimeezuliwa na mvua yam awe iliyoambatana na upepo mkali jioni ya leo Novemba, 11,2016.

Hakuna vifo wala watu waliojeruhiwa na Hadi sasa kaya hizo 7 hazina mahali pa kuishi.











No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad