Tetemeko la ardhi lenye uzito wa 5.7 katika vipimo vya richa laikumba Tanzania. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, September 10, 2016

Tetemeko la ardhi lenye uzito wa 5.7 katika vipimo vya richa laikumba Tanzania.

Tetemeko hilo lilisikika maeneo ya Kanda ya ziwa-Kagera na Mwanza nchini Tanzania.


Tetemeko la ardhi lenye uzito wa 5.7 katika vipimo vya richa limekumba eneo la Kagera na Mwanza nchini  Tanzania  na baadhi ya maeneo ya karibu na Kanziwa Victoria.

Majengo kadha yanaripotiwa kuharibiwa katika miji iliyo karibu.

Hata hivyo hakuna taarifa zaidi za kuwepo maafa . Mitetemeko mingine midogo pia ilisikika katika mataifa jirani ya Kenya na Rwanda. 


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad