Tetemeko la Ardhi Mchana wa leo Septemba 10,2016, Mkoani Kagera Hapa ni Picha zaidi toka Bukoba. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, September 10, 2016

Tetemeko la Ardhi Mchana wa leo Septemba 10,2016, Mkoani Kagera Hapa ni Picha zaidi toka Bukoba.

Kumetokea tetemeko la Ardhi Mchana wa  leo Septemba 10,2016, Mkoani Kagera umekumbwa na tetemeko la ardhi ambapo nyumba kadhaa zimebomoka na inadaiwa kuna vifo kadhaa.

Pia  limepiga maeneo ya mikoa jirani nayo imepata mtikisiko.

Hospitali ya Mkoa wa KAGERA imekuwa ikipokea Majeruhi wa Tukio hilo kwa ajili ya kupatiwa Huduma ya kwanza na Inatajwa kuwa maafa ni Makubwa yametokea.

Hapa chini ni Picha zaidi toka Bukoba:











No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad