Mwenyeji wa
Kijiji Babu wa Maisha Plus akiwa anawakaribisha washiriki kwa namna yake. |
Washiriki wa
shindano la Maisha Plus Msimu wa tano wakiwa wanaingia kijijini huku kila mmoja
akiwa amefungwa kitambaa usoni wasijue wapo wapi.
|
Hivi ni
Baadhi ya Vifaa na vitu ambavyo vijana wa Maisha Plus watakuwa wakivitumia
kipindi wapo kijijini kwa Muda wa Wiki 8.
|
Masoud
Kipanya akiwapa maelekezo washiriki wa Shindano la Maisha Plus kabla
hawajafugua rasmi vitambaa na kujua wapo wapi……..BOFYA HAPA KUTAZAMA PICHA ZAIDI.
|
No comments:
Post a Comment