Tazama Msimamo Ligi Kuu England 2016/2017 baada ya Chelsea kutoka sare ya 2-2 . - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, September 12, 2016

Tazama Msimamo Ligi Kuu England 2016/2017 baada ya Chelsea kutoka sare ya 2-2 .

Jana September 11,2016 , Chelsea  ilipata matokeo ya Sare ya 2-2 walipocheza Ugenini na Swansea City huko Liberty Stadium katika Mechi ya Ligi Kuu England 2016/2017.

Matokeo haya yameiacha Chelsea Nafasi ya Pili kwenye msimamo wakiwa Pointi 2 nyuma ya Vinara Man City wenye Pointi 12 na Nafasi ya 3 wapo Man United wenye Pointi 9 huku wote wakiwa wamecheza Mechi 4 kila mmoja.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad