Rais Museveni wa Uganda Awasili Dar Es Salaam Tayari kwa Mkutano wa Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, September 07, 2016

Rais Museveni wa Uganda Awasili Dar Es Salaam Tayari kwa Mkutano wa Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.


Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni, alipowasili Ikulu Dar es salaam leo jioni Septemba 7, 2016   tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho.

Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akitambulisha wasaidizi wake kwa Mgeni wake, Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni, alipowasili Ikulu Dar es salaam leo jioni Septemba 7, 2016   tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho.


Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli katika mazungumzo na Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni mgeni wake huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam leo jioni  tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho.

PICHA NA IKULU


Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni wakiwa na Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika mashariki, Kikanda na Kimataifa Dkt Augustine Mahiga na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Plilip Mpango mara mgeni wake huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam leo, tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad