Rais JPM na Uteuzi wa Katibu Tawala Songwe na Wakurugenzi wa Halmashauri 13 Nchini. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, September 10, 2016

Rais JPM na Uteuzi wa Katibu Tawala Songwe na Wakurugenzi wa Halmashauri 13 Nchini.

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi.

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa nafasi ya Katibu Tawala Mkoa wa Songwe ilikuwa wazi na uteuzi huu umeanza leo,September 10,2016.
Bw. Eliya Mtinangi Ntandu ( Pichani ) pamoja na Makatibu Tawala walioteuliwa jana tarehe 09 Septemba, 2016 ambao ni Ado Steven Mapunda aliyeteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara na Bw. Tixon Tuliangine Nzunda aliyeteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa wataapishwa katika tarehe itakayotangazwa baadaye.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad