Breaking News:Picha-Mtu mmoja afariki Dunia Papo Hapo na wengine Watatu Kujeruhiwa katika Ajali ya Lori Muda huu wilayani Ngara mkoani Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, September 10, 2016

Breaking News:Picha-Mtu mmoja afariki Dunia Papo Hapo na wengine Watatu Kujeruhiwa katika Ajali ya Lori Muda huu wilayani Ngara mkoani Kagera.


Ajali hii ya Lori aina ya Fuso -Tipa imetokea leo Septemba 10,2016 ,muda huu katika eneo la Kumuyange- mteremko wa barabara ya Ngara-Benaco wilayani Ngara kupoteze muelekeo , ambapo mtu mmoja amefariki dunia papo hapo na wengine watatu kujeruhiwa.

Endelea kufatilia mtandao huu kwa taarifa zaidi.















No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad