Papa Amtangaza Mama Theresa Kuwa Mtakatifu. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, September 06, 2016

Papa Amtangaza Mama Theresa Kuwa Mtakatifu.


Maelfu ya watu wameshuhudia ibada ya kutawazwa kuwa mtakatifu, Mama Teresa ambaye ametangazwa na Papa Francis leo.

Raia huyo wa Albania ambaye alifariki mwaka wa 1997 alianzisha shirika la hisani la kimishenari ili kuwasaidia walala hoi katika mtaa wa mabanda wa Calcutta nchini India.

Atajulikana kama mtakatifu Teresa wa Calcutta.

Waandishi wanasema kuwa maisha yake yanaenda sambamba na maono ya Papa Francis kuhusu kanisa linalojikakamua kuwasaidai watu masikini.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad