Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi Bw Mwigulu Nchemba katika Picha ya Pamoja na Wafanyakazi
wa radio Kwizera FM-Ngara/Kagera.
Waziri
Nchemba amesema Serikali itatoa Kipaumbele kwa Watanzania wanaoishi maeneo ya
Mipakani katika kuwapatia Vitambulisho vya Uraia ili kuwaondolea usumbufu baina
yao na Maafisa uhamiaji.
Bw Nchemba
ametoa kauli hiyo leo, Agosti 11,2016, Asubuhi wakati akijibu swali katika Mahojiano Maalum na
Radio Kwizera kuhusu adha wanayoipata
Watanzania wanaoishi mipakani kutoka kwa Askari wa Uhamiaji.
|
No comments:
Post a Comment