|
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi mara baada ya kuwasili
katikati ya jiji la Mwanza akitokea wilayani Sengerema Jumatano Agosti 10, 2016. |
|
Sehemu
nyingi alikuta wananchi wametanda barabarani wakimtaka awasalimu na kuongea nao.
|
|
Rais wa
Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na mamia ya
wananchi wa Mwanza waliofurika barabarani kumsubiri.
|





No comments:
Post a Comment