TAZAMA PICHA:- Mbunge wa Jimbo la Mhambwe Mhandisi Atashasta Nditiye atoa Msaada wa nguo za Wagonjwa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, August 11, 2016

TAZAMA PICHA:- Mbunge wa Jimbo la Mhambwe Mhandisi Atashasta Nditiye atoa Msaada wa nguo za Wagonjwa.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya  Wizara ya Maliasili na Utalii na Mbunge wa Jimbo la Muhambwe/Kibondo-Kigoma,Mhandisi Atashasta Nditiye ametoa msaada wa nguo za Wagonjwa na Vifaa tiba kwa kituo cha Afya Kifura na Hospitali ya Wilaya ya Kibondo, vitu hivyo vimegharimu Zaidi ya shilingi milioni moja.




Kaimu Mganga Mkuu wa hospitali ya wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, DR Adam Jonadhan akikabidhiwa moja ya nguo za wagonjwa na Mhandisi Atashasta Nditiye MB.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad