|
Uboreshaji
wa barabara za Mitaa mjini Ngara unaendelea Chini ya Kampuni ya SIWASA-(SIWASA CAMPANY LIMITED ) na hapa Pichani ni
Taswira Picha ya Barabara ya kuingia kwa Mkuu wa Wilaya ya Ngara na Mandela
zikionekana kuwekewa Lami ya mwanzo ambayo huwekwa ili kuzuia Unyevunyevu na Maji
kutoingia ambapo baada ya hapo itakuja Mwagwa Lami nyingine kasha Kokoto ili
kuikamilisha kwa kiwango cha kawaida cha Barabara ya Lami.
Uboreshaji
huu unaelezwa umekamilika kwa kiwango cha asilimia 75 na utakapokamilika utagharimu zaidi ya Shilingi Milioni 195.
|
No comments:
Post a Comment