Rais Magufuli: Ni Muujiza Kushikana Mkono na Lowassa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, August 28, 2016

Rais Magufuli: Ni Muujiza Kushikana Mkono na Lowassa.

Rais Magufuli amesema anashukuru hafla ya Jubilei ya Miaka 50 ya ndoa ya Rais mstaafu Benjamin Mkapa kuleta muujiza wa kukutana na kupeana mkono na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.

Kauli hiyo aliitoa jana katika hotuba yake Baada ya kumalizika kwa misa takatifu ya maadhimisho ya Juibilei hiyo iliyofanyika katika kanisa la mtakatifu Petro  Oysterbay, Dar es Salaam

Bofya hapa chini Msikilize Rais Magufuli akiongea.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad