Droo Europa League 2016/2017: Man Utd kukutana na Robin van Persie, Mbwana Ally Samatta na Athletic Bilbao. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, August 26, 2016

Droo Europa League 2016/2017: Man Utd kukutana na Robin van Persie, Mbwana Ally Samatta na Athletic Bilbao.

Van Persie (kulia) alifunga mabao 58 mechi 105 alizochezea Manchester United

Manchester United watakutana na klabu anayochezea nyota wao wa zamani Robin Van Persie- Fenerbahce- pamoja na Feyenoord na Zorya Luhansk hatua ya makundi Europa League.
Klabu ya KRC Genk anayochezea Mtanzania Mbwana Ally Samatta imewekwa kundi F na Athletic Bilbao ya Uhispania, Rapid Vienna ya Austria na Unione Sportiva Sassuolo Calcio kwa ufupi Sassuolo ya Italia.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad