TAZAMA PICHA 5:- Mkuu wa Wilaya ya Kasulu ,Kigoma apokea Madawati 100 kutoka Shirika la Oxfam. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, July 14, 2016

TAZAMA PICHA 5:- Mkuu wa Wilaya ya Kasulu ,Kigoma apokea Madawati 100 kutoka Shirika la Oxfam.

Mkuu wa Wilaya ya Kasulu, Kanali  Kanali Martin Mkisi akiwa wamekaa na Mkurugenzi Mkaazi wa Shirika la Oxfam hapa nchini Bi.Jane Foster (katikati) na Mkurugenzi wa Halmashauri ya mji wa Kasulu, Bi. Fatina Laay Kamara baada ya kukabidhiwa madawati mjini Kasulu leo July 14,2016.Picha na Kosta Kasisi RK-Kasulu,Kigoma.

 Mkuu wa Wilaya Ya Kasulu, Kanali  Martin Mkisi akipokea madawati kutoka kwa Mkurugenzi Mkaazi wa Shirika la Oxfam hapa nchini, Bi. Jane Foster leo mjini Kasulu.


Mkuu wa Wilaya Ya Kasulu, Kanali  Martin Mkisi akizungumza mara baada ya kukabidhiwa madawati na Mkurugenzi Mkaazi wa Shirika la Oxfam hapa nchini Mjini Kasulu leo July 14,2016.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad