|
Raphael Guerreiro
alipiga mpira wa adhabu ndogo uliogonga mtambaa panya lakini sekunde chache
baada ye Eder aliachia shuti la chinichini akiwa umbali wa mita 25 kutoka
golini lililomshinda golikipa wa Ufaransa Hugo Lloris na kuzama wavuni.
|
|
Ureno walicheza kwa
kujituma na ushirikiano bila ya mchezaji wao nyota Cristiano Ronaldo aliyetoka
kutokana na kupata jeraha la goti katika kipindi cha kwanza.
Ufaransa ilitawala
mchezo kwa kiasi kikubwa, lakini hawakuweza kuzitumia vyema nafasi walizopata.
|





No comments:
Post a Comment