![]() |
|
Baraza la mitihani
Tanzania(NECTA) imetangaza matokeo ya kidato cha sita 2016, Jana July 15,2016 na
Kuzitaja shule zilizo fanya vizuri zaidi Kitaifa na zile ambazo hazikufanya
vizuri Kitaifa.
Katibu Mtendaji wa
Necta, Charles Msonde amesema kuwa shule za wavulana ndizo zimeonekana
kufanya vizuri kwenye kumi bora.Aidha Msondena ameongeza kuwa ufaulu umeshuka
kwa asilimia 0.93 ikilinganishwa na mwaka 2015 ambapo ufaulu ulikuwa 98.87.
Ubora wa shule umepagwa
kwa kutumia kigezo cha Wastani wa Pointi (Grade Point Average – GPA) ambapo
A=1, B=2, C=3, D=4, E=5 na F=7.
Aidha, upangaji wa
shule zilizofanya vizuri umezingatia shule zenye idadi ya watahiniwa
wasiopungua 30.
Shule 10 zilizofanya
vizuri kwenye matokeo hayo ni pamoja na-
1. Kisimiri (Arusha)- Government
2. Feza Boys (Dar es Salaam)- Private
3. Alliance Girls (Mwanza)- Private
4. Feza Girls (Dar es Salaam)- Private
5. Marian Boys (Pwani)- Private
6. Tabora Boys (Tabora)- Government
7. Kibaha (Pwani)- Government
8. Mzumbe (Morogoro)- Government
9. Ilboru (Arusha) - Government na
10. Tandahimba (Mtwara)- Private
Bofya >>>>HAPA
|
Saturday, July 16, 2016
ELIMU YETU:-Shule za Wavulana zaongoza Matokeo ya Kidato cha 6 Tanzania.
Tags
# HABARI
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
HABARI
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.






No comments:
Post a Comment