Habari Bwana
Mwana wa Makonda,naomba mutufikishie huu ujumbe kunako husika….Sisi hapa Bushubi
,Kata ya Bukiriro ,Kijiji Mumuhamba,wilayani Ngara mkoani Kagera, tuna vilio
kwa vifo vya mbuzi.
|
…….''Jamani
mbuzi anaenda malishoni …u… mzima …..anafia
huko gafla’’...Taarifa hii na Mdau wetu:-Issa
Mtu Wababa Mudahemuka
|
No comments:
Post a Comment