Pichani ni Miongoni
mwa wakimbizi kutoka Nchini Burundi walioko mkoani Kigoma katika Kambi ya
Wakimbizi ya Nyarugusu iliyoko wilayani Kasulu, baada ya kukimbia ghasia nchini
mwao. Picha ya Maktaba.
Serikali ya Uingereza itaongeza msaada wa
pauni 15 milioni za Uingereza kusaidia wakimbizi wa Burundi waliopo Nchini Tanzania.
Ongezeko hilo
litafikisha kiwango cha pauni 29.25 milioni (Sh90 bilioni za Tanzania)
zilizotolewa tangu mwaka 2015.
Awali, Serikali
ya Uingereza ilitoa pauni14.25 milioni kwa ajili ya chakula, dawa na majisafi
kusaidia wakimbizi hao waliokuwa wakiongezeka kutafuta hifadhi salama nchini
tangu 2015.
Ongezeko hilo la
msaada linakuja kufuatia kuongezeka kwa wakimbizi kufikia 143,000 sawa na nusu
ya wakimbizi 267,000 waliopo ukanda wa Afrika. KUSOMA ZAIDI HABARI HII..BOFYA HAPA.
|
Sunday, June 19, 2016
SAKATA LA WAKIMBIZI:-Uingereza kuongeza msaada kwa Wakimbizi wa Burundi.
Tags
# HABARI
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
HABARI
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment